Ommy Dimpoz kapewa mualiko na NBA je anaushawishi kuliko wasanii wengine tunaowajua?

KITAULO

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Posts
1,926
Reaction score
2,797
Masanii wa muziki wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz amepata maualiko rasmi wa kuhudhuria michezo ya NBA All-Star ambayo itafanyika mjini Chicago Marekani kuanzia Februari 14 hadi 16 mwaka huu.

Ommy Dimpoz anakuja ni miongoni mwa Mastaa watatu kutokea Afrika waliopewa mwaliko huo, hao wengine ni Sho Madjozi wa Afrika Kusini na Jidenna mwenye asili ya Nigeria na Marekani.

Mualiko huo umetolewa na Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani (NBA), kupitia NBA Africa ambao wamemgharamia kila kitu ikiwemo Usafiri wa ndege kwenda Marekani, usafiri wa ndani na gharama za kuishi.

Hata hivyo Ommy Dimpoz ameshare picha Kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa kwenye Ndege na Seven Mosha ambaye amekuwa naye karibu Kwenye usimamizi wa baadhi ya kazi zake.

3202EBB1-A74D-4F71-9E17-B98831A4E303.jpeg
BF3691EA-EAB0-47D8-9261-6E79DA174EE4.jpeg

JE OMMY D ni bora kuliko wengine ambao wanaushawishi na kufahamika zaidi???

Huwa kunafanyika kampeni za kisiasa huko NBA kabla mtu hajaalikwa?
 
Mnaomtaja Mond kuwa sijui nini? Hv hamjui kuwa huo mwezi atakuwa europe kwenye tour ya "live performance" na bendi yake?

Afu Ommy hilo ni deal la Rockstar, na ilibidi aende kiba lakini naye atakuwa na shows mwezi huo ndo maana anaenda Dimpoz na Seven Mosha km meneja wake na mwakilishi kiongozi wa Rockstar

NB;-
Blood Fan wa wasafi, lazima nitetee afu ndo nichangie mada
 
Back
Top Bottom