Ommy Dimpoz kapewa mualiko na NBA je anaushawishi kuliko wasanii wengine tunaowajua?

Ommy Dimpoz kapewa mualiko na NBA je anaushawishi kuliko wasanii wengine tunaowajua?

Ww jamaa ni mwongo wa kiwango cha juu,tena haujui kitu upo zero,seven ashajitoa kuwa meneja kipindi kirefu,hili deal wameangalia mstaa wanao fatilia NBA walio wahi udhuria mechi,Tz yalitoka majina matatu Vanessa,Mwana FA na Ommy.Ommy alipata bahati ya kuchaguliwa Kwa hao watatu
Mnaomtaja Mond kuwa sijui nini? Hv hamjui kuwa huo mwezi atakuwa europe kwenye tour ya "live performance" na bendi yake?

Afu Ommy hilo ni deal la Rockstar, na ilibidi aende kiba lakini naye atakuwa na shows mwezi huo ndo maana anaenda Dimpoz na Seven Mosha km meneja wake na mwakilishi kiongozi wa Rockstar

NB;-
Blood Fan wa wasafi, lazima nitetee afu ndo nichangie mada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jukwaani humu watu (99%) hawataki kuusikia ukweli mwingine nje ya diamond na labda na kundi lake tu basi, lakini mi ommy dimpoz namchukulia tofauti sana.......kajamaa kana mziki flani hv very amazing if not classic. kwa mihemko, udiehard fans na chuki huwezi kuliona hili, lakini watu makini wanaliona. sishangai na kuitwa kwake kwani pia anajua kujiweka kijuujuu. p.diddy/pharell wa marekani si waimbaji kihiivyo lakini wanatoa vitu makini sana na ana mafanikio kibao ya kimuziki!
 
Back
Top Bottom