Ommy Dimpoz kapewa mualiko na NBA je anaushawishi kuliko wasanii wengine tunaowajua?

Ww jamaa ni mwongo wa kiwango cha juu,tena haujui kitu upo zero,seven ashajitoa kuwa meneja kipindi kirefu,hili deal wameangalia mstaa wanao fatilia NBA walio wahi udhuria mechi,Tz yalitoka majina matatu Vanessa,Mwana FA na Ommy.Ommy alipata bahati ya kuchaguliwa Kwa hao watatu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
jukwaani humu watu (99%) hawataki kuusikia ukweli mwingine nje ya diamond na labda na kundi lake tu basi, lakini mi ommy dimpoz namchukulia tofauti sana.......kajamaa kana mziki flani hv very amazing if not classic. kwa mihemko, udiehard fans na chuki huwezi kuliona hili, lakini watu makini wanaliona. sishangai na kuitwa kwake kwani pia anajua kujiweka kijuujuu. p.diddy/pharell wa marekani si waimbaji kihiivyo lakini wanatoa vitu makini sana na ana mafanikio kibao ya kimuziki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…