Ommy Dimpoz kapewa mualiko na NBA je anaushawishi kuliko wasanii wengine tunaowajua?

mmmmh jamaangu kiukweli Ommy hana maajabu yoyote kwenye huu mziki kwa sasa anabahatulishabahatisha tu tukiachana na uzhabiki
 
NBA wana vitu ambavyo wao wanaviona kwa mtu wanayemwalika.

Talking about being classy, Ommy is classy. Na probably ni follower wa game (sina uhakika) pia.

Ukiangalia hata SA wasanii ambao huwa wanapewa mwaliko, huwa siyo wale ambao wako hit at the particular time.

So people should just chill. It is not for everyone, it is for chosen ones.
 
Timu domo wanasifa sana...wasisikie kitu ...hata akijinyea watampongeza kwa kuchafua nguo.... ☹ ☹ ☹ ☹ ☹
 
001 .
 
Naskia eti, yaan huwezi amini

Sent using Jamii Forums mobile app
Ameenda age sana yaani ukimchukua Diva ambaye umri wake ni agemate wa kina mr blue Diva anaonekana mzee.....7 yupo kitambo sana kwenye game,Mcheck kwenye video ya Mabinti Damu Damu ya Mwana FA alivyokuwa kipindi kile na mpaka sasa unamuona yupo vile vile.
 
hapa hamna cha umaarufu wala bahati ni mwendo wa connection tu
 
Maajabu gani unayo yazungumzia?

Au mtu mwenye maajabu anakuwaje?

Au maajabu mpaka afanye kitu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
for myself naona mziki wake wa kawaida now days anatoa nyimbo za kawaida sana na ndo maajabu nnayoongelea

Mziki wa ommy siku hizi ni wakawaida sana
Inatakiwa abadilike asifanye mziki kwa kubahatisha atoe heat song
 
Yes you are right as long as beauty is in the eye of beholder

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kule hawaangalii kiki wanaangalia KAZI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa diamond, kiwango chake kwenye live band ni kidogo sana. Anaimba off key na blanda kibao, pumzi hakuna anaishia kusema mikono juu na yeah!! Labda kama atampitia Ne-Yo akampe darasa.
 
Kwa diamond, kiwango chake kwenye live band ni kidogo sana. Anaimba off key na blanda kibao, pumzi hakuna anaishia kusema mikono juu na yeah!! Labda kama atampitia Ne-Yo akampe darasa.
Show ipi umemuona diamond anafanya live band?
 
Kuna yule Bwana/Mtangazaji wa Clouds anahusika husika na mambo ya NBA Africa, hivyo possibly ni mambo ya connection...hivyo timu Wasafi hawatakuwa na bahati kwenye hili.
 
Kuna yule Bwana/Mtangazaji wa Clouds anahusika husika na mambo ya NBA Africa, hivyo possibly ni mambo ya connection...hivyo timu Wasafi hawatakuwa na bahati kwenye hili.
Mbona hata wasafi yupo anaitwa mbaba sema wasafi hawapo interested na baseball.Ommy dimpoz amekuwa akiupenda Sana mchezo huo na hata kupost Sana kwenye insta niambie lini umeona diamond kapost masuala ya baseball kwenye mitandao yake ya jamii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…