Ommy Dimpoz Kumshukuru Governor wa Mombasa, Inatoa picha gani kwa Wanasiasa wa Tanzania?

Ommy Dimpoz Kumshukuru Governor wa Mombasa, Inatoa picha gani kwa Wanasiasa wa Tanzania?

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,746
kwanza kabisa nampongeza ommy Dimpoz kwa kusherekea siku yake ya kuzaliwa.

pili naungana naye katika kutoa shukrani kwa Mungu baada ya kutengemaa kwa afya yake.

katika ukurasa wake wa instagram ametoa waraka wa mrejesho kuhusu afya yake sambamba na kuwashukuru waliomsaidia wakati akiugua.

kati ya watu aliowashukuru ni governor wa county ya mombasa nchini kenya, hassan joho.

hiii inatoa picha gani kwa wanasiasa na viongozi wa kiserikali wa awamu hii ya jpm?.

ifahamike tu wasanii wote wakubwa wa mziki wa bongofleva walishiriki katika kampeni zilizomuingiza JPM madarakani.
IMG_20180913_202241.jpg
IMG_20180913_202433.jpg
 
acheni uhuni kwani ayo ya mombasa na omy wapi na wapi na wanasiasa wa tanzania?? mimi picha ninayopata ni kwamba wa sani ote wa bongo ni vilaza pesa za safari na holiday na kiki ndefu ikifikia wanaumwa wanataka misada .. kwa ni wew ao mimi tunapoumwa tunaimba misada wapi??
 
Achana na stori ya msaada wa Joho dogo Dimpoz inabidi ajifunze we live to die rejected and alone kule kaburini. At least yeye kanusa kifo atakuwa kapata somo.
Sisi tunaogopa bure tu huko heaven kutakuwa na Bonge la party linaendelea sababu wakali wote washatangulia Bob Marley, Lucky Dube, Tupac, Avicii, Michael Jackson, Remmy, Complex, Banza, Kanumba, then what are we waiting for? Daamn!
 
Ifahamike tu kuwa hizo kampeni wanazoshiriki wasanii huwa ni mikataba sawa tu na mikataba mingine wanayofanya na promoters wengine na hakuna kipengele cha kulipina maisha yote.Ndo maana huwaoni Ukonga wala Monduli kwenye by elections.
 
Hivi mtu akiwa maarufu ndio anastahili misaada kipindi akiwa na matatizo?

Sisi walala hoi tujifie tu sio? Kweli nimeamini "mwenye nacho huongezewa zaidi na mwenye kidogo huporwa hata kile kiduchu alichonacho"
 
Hawa wasanii wana maisha ya starehe sana mbona kila anayeumwa analalama hajapewa misaada,ina maana pesa zao huwa wanatunza kwa ajili ya kula bata tu?
Mi sioni sababau ya kuwachangia,kuna lile li dada sijui Diva sijui nani eti nalo hivi majuzi linalialia eti lichangiwe likabebe mimba,shuuubamiti kumamae!!
 
kwanza kabisa nampongeza ommy Dimpoz kwa kusherekea siku yake ya kuzaliwa.

pili naungana naye katika kutoa shukrani kwa Mungu baada ya kutengemaa kwa afya yake.

katika ukurasa wake wa instagram ametoa waraka wa mrejesho kuhusu afya yake sambamba na kuwashukuru waliomsaidia wakati akiugua.

kati ya watu aliowashukuru ni governor wa county ya mombasa nchini kenya, hassan joho.

hiii inatoa picha gani kwa wanasiasa na viongozi wa kiserikali wa awamu hii ya jpm?.

ifahamike tu wasanii wote wakubwa wa mziki wa bongofleva walishiriki katika kampeni zilizomuingiza JPM madarakani.
View attachment 865502View attachment 865503
Ugua pole pozi kwa pozi
 
Back
Top Bottom