Hapa umeteleza sana, wazazi hawajawahi, hawawi na hawatokuwa mungu, wao wamezaliwa kama walivyozaa, Dunia ya Mwenyezi Mungu mmoja tuu, hajazaa wala hajazaliwa na wala hajafanana na kitu au mtu yeyote.
Hivi baba anaemtelekeza mwanae anaombwa vipi msamaha?pole sana,kumuomba msamaha baba yako haimaanishi ndio utapona,muombe msamaha baba ukijiskia kufanya hivyo,sio vitisho
Umeshindwa kutafsiri.Hapa umeteleza sana, wazazi hawajawahi, hawawi na hawatokuwa mungu, wao wamezaliwa kama walivyozaa, Dunia ya Mwenyezi Mungu mmoja tuu, hajazaa wala hajazaliwa na wala hajafanana na kitu au mtu yeyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Coincidence tu hizi acheni UCHAWI.Ommy muombe msamaha baba yako mapema , mtoto huwezi weka kinyongo na mzazi wako na mambo yako yakanyooka
Baba yako hivi karibuni alishawahi kutoka kwenye vyombo vya Habari akitamka maneno mazito kuwa hata akifa leo usisogelee kaburi lake wala kumzika
Maneno yale yalikuwa ni mazito sana na ulihitajika kuyafanyia uamuzi wa busara kumaliza tofauti na baba yako, jiulize Kanumba yupo wapi sasa, maana hata yeye hadi anakufa aliluwa na chuki na baba yake,
Rejea hapa [emoji116]
Babamzazi wa Mwanamuziki wa Bongo fleva OmaryFaraji Nyembo‘OmmyDimpoz’ anayejulikanakama Mzee FarajiNyembo ametoa dukudukulake la moyoni nakusema hata akifa leo mwanayehuyoasimzike.
Diamond na wewe ukiona wenzako wananyolewa tia maji hakuna atakayemchukia mzazi wake na akabaki salama, mda ni mwalimu mzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Well saidi Mkuu watu wna matatizo yao lakini kuongelea ya wenzao kama wanawajua sana
Last time i checked, jirani yangu alijifungua katoto ka kike saa nane usiku bila kelele.Watoto wa kiume huwa wengi wanamabeef na baba zao , lakini ni Mara chache kukuta mtoto wa kike kuwekeana kinyongo na mama yake mziki wa leba si mchezo.
Hahhahahhah duuuuLast time i checked, jirani yangu alijifungua katoto ka kike saa nane usiku bila kelele.
Leba is overrated!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo baba yake Ommy Dimpoz juzi kahojiwa amesema hana tatizo na mtoto wake acheni unaa.Ommy muombe msamaha baba yako mapema , mtoto huwezi weka kinyongo na mzazi wako na mambo yako yakanyooka
Baba yako hivi karibuni alishawahi kutoka kwenye vyombo vya Habari akitamka maneno mazito kuwa hata akifa leo usisogelee kaburi lake wala kumzika
Maneno yale yalikuwa ni mazito sana na ulihitajika kuyafanyia uamuzi wa busara kumaliza tofauti na baba yako, jiulize Kanumba yupo wapi sasa, maana hata yeye hadi anakufa aliluwa na chuki na baba yake,
Rejea hapa [emoji116]
Babamzazi wa Mwanamuziki wa Bongo fleva OmaryFaraji Nyembo‘OmmyDimpoz’ anayejulikanakama Mzee FarajiNyembo ametoa dukudukulake la moyoni nakusema hata akifa leo mwanayehuyoasimzike.
Diamond na wewe ukiona wenzako wananyolewa tia maji hakuna atakayemchukia mzazi wake na akabaki salama, mda ni mwalimu mzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Una kichwa kizito sana mkuu umeambiwa Mungu wa PiliHapa umeteleza sana, wazazi hawajawahi, hawawi na hawatokuwa mungu, wao wamezaliwa kama walivyozaa, Dunia ya Mwenyezi Mungu mmoja tuu, hajazaa wala hajazaliwa na wala hajafanana na kitu au mtu yeyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Matanuzi yao huku unakuta Home msoto mkali madogo wanapanda, Na watoto wanaolelewa na mzazi mmoja haswa Mama hujazwa Chuki sana Juu ya Baba zao ivi mpaka mtu amekuwa mkubwa basi upendo huelemea kwa Mama zaidiWatoto wa kiume huwa wengi wanamabeef na baba zao , lakini ni Mara chache kukuta mtoto wa kike kuwekeana kinyongo na mama yake mziki wa leba si mchezo.