Ommy Dimpoz muombe msamaha baba yako mapema

Ommy Dimpoz muombe msamaha baba yako mapema

Kwa wazazi hawa ambao hawajui majukumu yao watachukiwa tu. Kama aishivyo Mungu siwezi kumpigia magoti mzazi kumsujudia ili tu aone umuhimu wangu. Kama hiyo itakuwa ndiyo sababu na yanikute matatizo nipo tayari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole sana,kumuomba msamaha baba yako haimaanishi ndio utapona,muombe msamaha baba ukijiskia kufanya hivyo,sio vitisho
 
pole sana,kumuomba msamaha baba yako haimaanishi ndio utapona,muombe msamaha baba ukijiskia kufanya hivyo,sio vitisho
Hivi baba anaemtelekeza mwanae anaombwa vipi msamaha?

Yani mtoto aombe msamaha kwa kutelekezwa?

Kwanini tutengeneze jamii ya watu wenye nidhamu ya uoga badala ya jamii ya watu wawajibikaji?

Au mimi ndo sielewi? Am i missing something here?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ommy muombe msamaha baba yako mapema , mtoto huwezi weka kinyongo na mzazi wako na mambo yako yakanyooka

Baba yako hivi karibuni alishawahi kutoka kwenye vyombo vya Habari akitamka maneno mazito kuwa hata akifa leo usisogelee kaburi lake wala kumzika

Maneno yale yalikuwa ni mazito sana na ulihitajika kuyafanyia uamuzi wa busara kumaliza tofauti na baba yako, jiulize Kanumba yupo wapi sasa, maana hata yeye hadi anakufa aliluwa na chuki na baba yake,

Rejea hapa [emoji116]

Babamzazi wa Mwanamuziki wa Bongo fleva OmaryFaraji Nyembo‘OmmyDimpoz’ anayejulikanakama Mzee FarajiNyembo ametoa dukudukulake la moyoni nakusema hata akifa leo mwanayehuyoasimzike.

Diamond na wewe ukiona wenzako wananyolewa tia maji hakuna atakayemchukia mzazi wake na akabaki salama, mda ni mwalimu mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Coincidence tu hizi acheni UCHAWI.
 
Watoto wa kiume huwa wengi wanamabeef na baba zao , lakini ni Mara chache kukuta mtoto wa kike kuwekeana kinyongo na mama yake mziki wa leba si mchezo.
 
Hao wazee wanawaacha watoto wanapata tabu,baadae wakipambana wanaona wivu wanaanza kuwalaani,kila mtu atakufa,kama hakumtendea mema alipokuwa mdogo hayo ndiyo mavuno ya mbegu aliyoipanda,AACHE KUMTISHA MTOTO.
Mtu yeyote anaumwa na anaweza kupona au la,siyo wote waliokufa wamekufa kwa laana,oengine hata huyo NYEMBO ni laana inamlaani.
 
me nataka kuona hiyo siku akifa, atafanyaje kama huyo mwanae akiwepo.
 
Ommy muombe msamaha baba yako mapema , mtoto huwezi weka kinyongo na mzazi wako na mambo yako yakanyooka

Baba yako hivi karibuni alishawahi kutoka kwenye vyombo vya Habari akitamka maneno mazito kuwa hata akifa leo usisogelee kaburi lake wala kumzika

Maneno yale yalikuwa ni mazito sana na ulihitajika kuyafanyia uamuzi wa busara kumaliza tofauti na baba yako, jiulize Kanumba yupo wapi sasa, maana hata yeye hadi anakufa aliluwa na chuki na baba yake,

Rejea hapa [emoji116]

Babamzazi wa Mwanamuziki wa Bongo fleva OmaryFaraji Nyembo‘OmmyDimpoz’ anayejulikanakama Mzee FarajiNyembo ametoa dukudukulake la moyoni nakusema hata akifa leo mwanayehuyoasimzike.

Diamond na wewe ukiona wenzako wananyolewa tia maji hakuna atakayemchukia mzazi wake na akabaki salama, mda ni mwalimu mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo baba yake Ommy Dimpoz juzi kahojiwa amesema hana tatizo na mtoto wake acheni unaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watoto wa kiume huwa wengi wanamabeef na baba zao , lakini ni Mara chache kukuta mtoto wa kike kuwekeana kinyongo na mama yake mziki wa leba si mchezo.
Matanuzi yao huku unakuta Home msoto mkali madogo wanapanda, Na watoto wanaolelewa na mzazi mmoja haswa Mama hujazwa Chuki sana Juu ya Baba zao ivi mpaka mtu amekuwa mkubwa basi upendo huelemea kwa Mama zaidi
 
Back
Top Bottom