Ommy Dimpoz muombe msamaha baba yako mapema

Wazazi ni Mungu wa pili hapa duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa umemaliza somo. Wasiyejuwa hili nadhani sasa wamepata somo. Yule ambae analifahamu hili (na uhakika Ommy na Nassib wanalifahamu hili coz ni elimu inatolewa sana madrasa) na kakaamuà kulipotezea kwa makusudi, ni sawa na kumkana Allah wako. Lazima itakupata in one way or another.
Namuombea Ommy apone haraka na kurekebisha pale alipokosea.
 
Wewe ndio una kichwa kizito sana, nimekwambia Mwenyezi Mungu ni mmoja tuu, hakuna wa pili wala watatu. Yeye ndie aliyemuumba mama na baba yako na wewe vile unaweza baba/mama.
Acha kukaza Kichwa mkuu, ivi umesoma ata mambo ya fasihi
 
Wanaomuamini Mungu wanaamini kuna Mungu mmoja tu, hakuna Mungu wa pili wala wa tatu!

Mungu halinganishwi wala hafananishwi!

Acheni kujustify uzembe na ukwepaji wa majukumu kwa kusingizia eti Mungu wa pili.

Mungu hakosei, wazazi wanakosea!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ommy dimpoz ni mzima kabisa na wala hayuko hospitali, alienda checkup maramoja tu. Alifanyiwa akatoka hospitali baada ya masaa sita japo bado yupo southafrica

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…