qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
Hahaaa shooting hiyo hapo ni Dimpoz na Vanessa jamaa kawaweza sana inshort kawajua wanafiki wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli uko hivi, Ile picha iliyosambaa kwenye mitandao ni picha ya zamani ya Ommy Dimpoz na alihojiwa na Millard Ayo akakiri kuwa alipigwa na uncle wake zamani. Baada ya hapo akaamua kuchukulia poa akaitweet pamoja na picha aliyopiga na Mh. Kikwete aka-caption Asante Mungu. Na saa iz ndio hiyo kaamua kuonganishia na video kabisa
Hahaaa shooting hiyo hapo ni Dimpoz na Vanessa jamaa kawaweza sana inshort kawajua wanafiki wote