Ommy dimpoz na mkewe TAZARA

Hahaaa shooting hiyo hapo ni Dimpoz na Vanessa jamaa kawaweza sana inshort kawajua wanafiki wote
 
Shooting hiyo na hapo kapiga na Vanessa mdee .. jamaa aliamuwa kutengenezea promo
 
Mhhhh haiwezekan iwe wimbo mpya wakati picha haifanani na mwonekano wa sasa
 
Hahaaa shooting hiyo hapo ni Dimpoz na Vanessa jamaa kawaweza sana inshort kawajua wanafiki wote

Kweli dizaini aliisambaza mwenyewe ile picha, ndio maana kavaa kofia sababu ana hair style... kafaulu maana ilisambaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…