Ommy Dimpoz na Vanessa ni couple

Ommy Dimpoz na Vanessa ni couple

Tena wengi.....yaani watu hawajui kuMantain status zao kabisa.Kabla yakufanya huo ushenzi wanatakiwa wajue jamii imewa Rank vipi lakin wao wapiiiiii.

Shaur zao......yaani ni kher usikie anatoka na Ben pol kuliko huyo mlamba lips

Akina dada mna hasira kweli......acheni wivu bna
 
Ama kweli kila shetani ana mbuyu wake. Sasa Vanesa ana uzuri gani? Yale makalio yaliyolegea kama soksi?

Kula kumi mwanangu,yaan akipita kusoma hapa atajisikia vibayaaa
 
Huyu ommy si walisema anatoka na kidotii heeee basi makubwa...endeleen tu kuwala kwa raha zenyuuu
 
Jux ndo anapiga huyu mtoto wala sio Dimpoz.
Mdee kwenye Picha ni mkali kweli ili ukikaona Kama kanakuwa kabovu hivi.
Ova
 
Mulika mwizi nani mwizi wa mapenzi!!!
 

Attachments

  • 1411375337448.jpg
    1411375337448.jpg
    70.9 KB · Views: 707
Tena wengi.....yaani watu hawajui kuMantain status zao kabisa.Kabla yakufanya huo ushenzi wanatakiwa wajue jamii imewa Rank vipi lakin wao wapiiiiii.

Shaur zao......yaani ni kher usikie anatoka na Ben pol kuliko huyo mlamba lips

Demu wa kipare akikukataa inabidi ukaoge maji ya bahari.
 
juzi hapa si mlisema vanesa yuko na Jux,dimpoz na kidoti,mbona mambo...au wako tayari kunywa vidonge kila siku?

Unamaansha nn kunywa vidonge mkuu nani kauungua hapo
 
Aisee arola umenichekesha hadi bhaaasi
 
Last edited by a moderator:
yaani nilivyokua namchukulia vanessa na mambo yake
napata maralia plus plus!!!!

Wewe acha tu juzi hapo alivyoanza kudate na jux nilichekwa mimi....nilikua namsifia sana
 
Back
Top Bottom