Ommy Dimpoz nae kaamua kutoboa pua na kusema haya

Ommy Dimpoz nae kaamua kutoboa pua na kusema haya

Juzi juzi tumesikia msanii flani wa kiume akitamani kununuliwa gari na pedeshee mmoja maarufu kama Chiefe creature, Mara tukasikia shoga mmoja apania kumpora Vanessa Mdee nyongo wake,Hata akili hazijatulia mara tukasikia kuna tamasha la kula chips huko Dar. Hivi kukuna nini huko Dar?
 
Dar jahannam
 
Mziki wa sasa bila kiki hauendi, ila angekuja na strategy mpya angetoboa mkund... angekuwa gumzo zaidi ya chura
Kawa kama wanataka kiki wakapige debe gari za mwendo kasi au wakapokee bunduki police!
 
Kuna uwezekano mkubwa hii style mpya ya wasanii wa kiume kutoboa pua ikaenea kwa wasanii wengi zaidi. Ilianza kwa msanii Chid Benz ambae mara baada tu ya kuonekana katoboa pua ilikua gumzo sana sio tu magazetini hata mitandaoni huku wasanii wengi wakipingana na maamuzi yake.

Itakumbukwa pia kua Diamond Platnumz alifikia hatua hadi ya kumuimba Chid kua katoboa pua ila cha kushanaza mwaka huu nae Diamond katoboa pua. Ishu ya Diamond kutoboa pua ishasambaa sana ila mpya kwa sasa ni Ommy Dimpoz nae kutoboa pua!!!

Imenaswa video ikimwonyesha Ommy Dimpoz akiwaonyesha mashabiki wake kua nae katoboa pua, hadi akatoa heleni ya sikioni na kuiweka puani. Unaweza ona video hiyo hapa chini.....

yangu macho
 
Kuwa staa si mchezoooo! Ila kuna mambo mengine hufanyi ukiwa na akili timamu ni mpaka ujitoe ufahamu. Huyu jamaa naona kaamua kujitoa ufahamu.
 
Kwanza umepotosha kwamba Diamond alitoboa pua ilikua ni Fake-out
 
Juzi juzi tumesikia msanii flani wa kiume akitamani kununuliwa gari na pedeshee mmoja maarufu kama Chiefe creature, Mara tukasikia shoga mmoja apania kumpora Vanessa Mdee nyongo wake,Hata akili hazijatulia mara tukasikia kuna tamasha la kula chips huko Dar. Hivi kukuna nini huko Dar?
Dar kuna mengi
 
nimeishia kucheka...kiswahili kibovuuu!!!
 
oya nay wa mitego nadhani hili swali halitakosa kwnye nyimbo mpya.
 
Back
Top Bottom