[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ww anetizo una utani na ommy? Mie simooo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Lipua lilivyo likubwa hata sikuona kama limetobolewa
Dar jahannamJuzi juzi tumesikia msanii flani wa kiume akitamani kununuliwa gari na pedeshee mmoja maarufu kama Chiefe creature, Mara tukasikia shoga mmoja apania kumpora Vanessa Mdee nyongo wake,Hata akili hazijatulia mara tukasikia kuna tamasha la kula chips huko Dar. Hivi kukuna nini huko Dar?
Kawa kama wanataka kiki wakapige debe gari za mwendo kasi au wakapokee bunduki police!Mziki wa sasa bila kiki hauendi, ila angekuja na strategy mpya angetoboa mkund... angekuwa gumzo zaidi ya chura
yangu machoKuna uwezekano mkubwa hii style mpya ya wasanii wa kiume kutoboa pua ikaenea kwa wasanii wengi zaidi. Ilianza kwa msanii Chid Benz ambae mara baada tu ya kuonekana katoboa pua ilikua gumzo sana sio tu magazetini hata mitandaoni huku wasanii wengi wakipingana na maamuzi yake.
Itakumbukwa pia kua Diamond Platnumz alifikia hatua hadi ya kumuimba Chid kua katoboa pua ila cha kushanaza mwaka huu nae Diamond katoboa pua. Ishu ya Diamond kutoboa pua ishasambaa sana ila mpya kwa sasa ni Ommy Dimpoz nae kutoboa pua!!!
Imenaswa video ikimwonyesha Ommy Dimpoz akiwaonyesha mashabiki wake kua nae katoboa pua, hadi akatoa heleni ya sikioni na kuiweka puani. Unaweza ona video hiyo hapa chini.....
Mi kaniboa sn
Dar kuna mengiJuzi juzi tumesikia msanii flani wa kiume akitamani kununuliwa gari na pedeshee mmoja maarufu kama Chiefe creature, Mara tukasikia shoga mmoja apania kumpora Vanessa Mdee nyongo wake,Hata akili hazijatulia mara tukasikia kuna tamasha la kula chips huko Dar. Hivi kukuna nini huko Dar?
Alishawahi kulegeza Macho & kulamba lips kama huyu?Mbona nasikia na 2pac alitoboaga??!!!
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Lipua lilivyo likubwa hata sikuona kama limetobolewa