Anatumia demokrasia yake kwanini BAVICHA ambao ndio walitakiwa kuheshimu mawazo ya wengine wamekuwa mbwaMommy Dimpoz akiwa na Diamond platinum na Jux wametukana Watanzania wanaodai uchaguzi huru na wazi, katiba mpya, kupinga utekaji na ufisadi ati ni wavivu na wapumbavu na wakamalizia kusema "****.la mama zenu wote"
Bora hao wengine wamefanikiwa, Sasa Ommy Dimpoz nae masikini mwenzetu nae anatukana
1. Ommy Dimpoz alishindwa mziki
2. Ommy Dimpoz hana kazi maalum
3. Ommy Dimpoz Kwa umri wake hana mke, mtoto wala familia
4. Ommy Dimpoz kidume cha ovyo analipiwa Kodi na wanaume wenzake
5. Ommy Dimpoz ni rafiki wa Wema
6. Ommy Dimpoz kafukuzwa na Ali Kiba
7 Ommy Dimpoz alipata ugonjwa wa cancer ya koo, akaja kulia mitandaoni hawa Watanzania masikini wakamtibia, inasema huo ugonjwa unasahabishwa na kulamba lololo
8. Hivi huko CCM anaimba nyimbo Gani majukwaani
9 Machawa wana nguvu ya kutudharau Watanganyika namna hii
10 Ommy Dimpoz na Diamond hajui Kuna Watanzania wanakaa chini darasani, hospital hazina madawa, bandari zinauzwa, ufisadi wa Mwana mfalme ana nunua magari ya billion 200 na hataki Watanganyika walalamike
Najiuliza huyu jamaa ana lipi la kudharau Watu na kuwaita wavivu, kwamba Ommy Dimpoz ndo mchapa kazi kuliko wote TANZANIA
Hawa mapimbi wamenikera mno
Achana na huyo *****Mommy Dimpoz akiwa na Diamond platinum na Jux wametukana Watanzania wanaodai uchaguzi huru na wazi, katiba mpya, kupinga utekaji na ufisadi ati ni wavivu na wapumbavu na wakamalizia kusema "****.la mama zenu wote"
Bora hao wengine wamefanikiwa, Sasa Ommy Dimpoz nae masikini mwenzetu nae anatukana
1. Ommy Dimpoz alishindwa mziki
2. Ommy Dimpoz hana kazi maalum
3. Ommy Dimpoz Kwa umri wake hana mke, mtoto wala familia
4. Ommy Dimpoz kidume cha ovyo analipiwa Kodi na wanaume wenzake
5. Ommy Dimpoz ni rafiki wa Wema
6. Ommy Dimpoz kafukuzwa na Ali Kiba
7 Ommy Dimpoz alipata ugonjwa wa cancer ya koo, akaja kulia mitandaoni hawa Watanzania masikini wakamtibia, inasema huo ugonjwa unasahabishwa na kulamba lololo
8. Hivi huko CCM anaimba nyimbo Gani majukwaani
9 Machawa wana nguvu ya kutudharau Watanganyika namna hii
10 Ommy Dimpoz na Diamond hajui Kuna Watanzania wanakaa chini darasani, hospital hazina madawa, bandari zinauzwa, ufisadi wa Mwana mfalme ana nunua magari ya billion 200 na hataki Watanganyika walalamike
Najiuliza huyu jamaa ana lipi la kudharau Watu na kuwaita wavivu, kwamba Ommy Dimpoz ndo mchapa kazi kuliko wote TANZANIA
Hawa mapimbi wamenikera mno
umejuaje kama dunia haina siri?Achana na huyo *****
FactUtu ni bora kuliko dharau na fedheha.
Tuishi kwa upendo, amani, umoja na mshikamano.
Ukiwa tajiri utamhitaji masikini akusaidie shughuli zako na masikini anamhitaji tajiri amlipe ujira apeleke nyumbani magimbi, hivyo tusitendeane mabaya au kusemana vibaya sote ni wamoja na vyote tunavyovihangaikia vitabaki hapa duniani siku tukifa.
Mke wa watu huyo dimples huyo domo aliliwa na Diddy ili ashinde grammy wasitutishe na kazi tunafanyaUmejuaje analipiwa kodi mkuu?
Wanalinda kibarua.. anayesimamia matangazo,pia kuwayang'anya leseni hawachelewi.Star tv nao wamekata matangazo ya BBC swahili tv saa tatu usiku mara kwenye muhtasari wao wa habari kutangaza serikali inalaumiwa kukandamiza wapinzani kuelekea uchaguzi. kipande hicho cha habari hakijasikika na mbeleni wakaachia taarifa ya habari iendelee. Star tv wanaogopa nini hao wajuba? ndio kusema ni wazalendo wa kulinda amani ya nchi?
tulipofika ni jukumu letu wananchi kuingia front mkuu, vikundi vidogo vidogo sjui media sjui nani sjui taasisi gani hawawwezi jitoa sadaka wakati wananchi kwa ujumla wetu tupo na mishe zetuStar tv nao wamekata matangazo ya BBC swahili tv saa tatu usiku mara kwenye muhtasari wao wa habari kutangaza serikali inalaumiwa kukandamiza wapinzani kuelekea uchaguzi. kipande hicho cha habari hakijasikika na mbeleni wakaachia taarifa ya habari iendelee. Star tv wanaogopa nini hao wajuba? ndio kusema ni wazalendo wa kulinda amani ya nchi?
Kwenye ngoma zake, ukisikia zero zero one (001) hesabu gavana ametembeleaUmejuaje analipiwa kodi mkuu?
Elezea kidogo kwa ukali nielewe mimi mbumbumbu kilaza wa mkoaniKwenye ngoma zake, ukisikia zero zero one (001) hesabu gavana ametembelea
Tofautisha uhuni na demokrasiaAnatumia demokrasia yake kwanini BAVICHA ambao ndio walitakiwa kuheshimu mawazo ya wengine wamekuwa mbwa
USSR