Mommy Dimpoz akiwa na Diamond platinum na Jux wametukana Watanzania wanaodai uchaguzi huru na wazi, katiba mpya, kupinga utekaji na ufisadi ati ni wavivu na wapumbavu....zenu wote"
Bora hao wengine wamefanikiwa, Sasa Ommy Dimpoz nae masikini mwenzetu nae anatukana
1. Ommy Dimpoz alishindwa mziki
2. Ommy Dimpoz hana kazi maalum
3. Ommy Dimpoz Kwa umri wake hana mke, mtoto wala familia
4. Ommy Dimpoz kidume cha ovyo analipiwa Kodi na wanaume wenzake
5. Ommy Dimpoz ni rafiki wa Wema
6. Ommy Dimpoz kafukuzwa na Ali Kiba
7 Ommy Dimpoz alipata ugonjwa wa cancer ya koo, akaja kulia mitandaoni hawa Watanzania masikini wakamtibia, inasema huo ugonjwa unasahabishwa na kulamba lololo
8. Hivi huko CCM anaimba nyimbo Gani majukwaani
9 Machawa wana nguvu ya kutudharau Watanganyika namna hii
10 Ommy Dimpoz na Diamond hajui Kuna Watanzania wanakaa chini darasani, hospital hazina madawa, bandari zinauzwa, ufisadi wa Mwana mfalme ana nunua magari ya billion 200 na hataki Watanganyika walalamike
Najiuliza huyu jamaa ana lipi la kudharau Watu na kuwaita wavivu, kwamba Ommy Dimpoz ndo mchapa kazi kuliko wote TANZANIA
Hawa mapimbi wamenikera mno