Ommy Dimpoz nae ni wa kudharau Watanzania? Kwani ana utajiri Gani?

tulipofika ni jukumu letu wananchi kuingia front mkuu, vikundi vidogo vidogo sjui media sjui nani sjui taasisi gani hawawwezi jitoa sadaka wakati wananchi kwa ujumla wetu tupo na mishe zetu
Na hawa BBC swahili tv ni bora wawe wanarusha matangazo yao bila kupitia local tv, la sivyo matangazo yao yatakuwa yanakatwa kindezi na wananchi kukosa habari zinazoipa serikali makavu
 
Na hawa BBC swahili tv ni bora wawe wanarusha matangazo yao bila kupitia local tv, la sivyo matangazo yao yatakuwa yanakatwa kindezi na wananchi kukosa habari zinazoipa serikali makavu
nakumbuka 2020 itv siku ya uchaguzi walikua wanakata sana matangazo wakikutana na changamoto za mawakala wa upinzani kufukuzwa vituoni
 
Wanalinda kibarua.. anayesimamia matangazo,pia kuwayang'anya leseni hawachelewi.
Kiukweli haya maisha ya namna hii yanachosha..
basi waendelee na ukada wao, sisi wananchi tunataka habari kinagaubaga hata kama serikali inapewa makavu
 
Mwanamme unajiita Dimpoz tutaongea nn mbele ya wanaume rijali wakuelewe?
 
nakumbuka 2020 itv siku ya uchaguzi walikua wanakata sana matangazo wakikutana na changamoto za mawakala wa upinzani kufukuzwa vituoni
kipindi hiki ndio media zetu hizi za kibongo huingiwa na woga kuripoti uhalisia na kuanza kujipendekeza kwenye chama tawala ili hapo mbeleni baada ya uchaguzi wasishughulikiwe kushadidia upinzani. Woga na unafiki umekuwa mwingi kiasi cha kulisha wananchi matango pori ya habari za kujipendekeza
 
Mtu hasomeki ni A au B halafy anakusumbua
 
Wanaendesha gwagon za mtumba wanajiona wana uhalali wa kutukana watanzani...dawa yao ni kupiga mawe tu wakiwa jukwaani
 
Akiwa anaumwa sijawahi kuona akiomba mchango kwanini unaandika uongo?
 
Acha uongo hata hamkumchangia Ommy dimpoz wabongo mna wivu mna makasiriko wenzenu wamefanikiwa tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…