Ommy Dimpoz ni msanii bora zaidi ya Alikiba

Nyimbo zote za Alikiba hata zikipigwa kesho ni hit song hizo za kina Omy na takataka zingine unaweza ukaisikiliza hata saa moja tu ?

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa huwa anatoa wimbo mmoja anakaa hata miaka miwili anaendelea kutrend mpaka leo halafu kuna wapiga kelele fulani wanamlinganisha na hawa waimba matusi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanapambana na mtu ambaye kaacha music wake upambane nao yeye hana makelele kama vibuyu vitupu.

Acha kumfananisha kiba na vitu vya kijinga bro , huyo muimba matus usimfananishe na king... Huu uzi umenichefua ngoja nisikilize kidog Mackuga, Mwana Dsm, Lupela af nimalizie na mshumaa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuunga mkono kwasasa ommy dimpoz anafanya mziki unaopendwa na wengi na ngoma zake zinafanya vizuri kuliko za alikiba ila kwa maana ya kipaji kiba ana kipaji kikubwa kushinda ommy dimpoz
Ommy dimpoz ana ngoma gani iliyofanya vizuri kushinda ngoma ya alikiba..usiseme KATA kwani ni ushuzi mtupu..

Aisee vijana hawajui muziki
 
Ommy dimpoz ana ngoma gani iliyofanya vizuri kushinda ngoma ya alikiba..usiseme KATA kwani ni ushuzi mtupu..

Aisee vijana hawajui muziki
Kata ni ushuzi kwako na hiyo haizuii ngoma ya mtu kupendwa lakini hiyo ngoma imefanya vizuri hit song ya mwisho ya alikiba ni seduce me baada ya hapo Hana hit song alafu pia uwe unaelewa comment before unacomment situzungumzia right now on my dimpoz anafanya vizuri kuliko kiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…