Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Nyimbo zote za Alikiba hata zikipigwa kesho ni hit song hizo za kina Omy na takataka zingine unaweza ukaisikiliza hata saa moja tu ?
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
100%, soko la muziki limebadilika sana tangu miaka ya 2011. Mtoa mada uko sawa, ukiangalia trend ya Bwana Omary Nyembo tangu hit song yake ya kwanza 'nai nai' 2011- '12 japo alimshirikisha Ally Salehe Kiba na ngoma zote zilizofuata zilikasimiwa na mandhar ya kisasa.
ANGALABU kwa Kiba hit zake zote zimetanabaiswa na swaga za Cindelella 2007 muziki wa masikion
Sent using Jamii Forums mobile app