Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,168
- 10,810
Pole mkuu Waberoya Mimi nimesema ni opinion yangu, sikujua kama Alikiba incomparable. Huwa napenda ubishe kwa evidence. Pole ila kama unaamini yeye music kwake ni hobby na sio professional unajidanganya au unakwepa tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu haliwezi kuwa tatizo wakati ni maisha yake na maamuzi yake
Ni tatizo kwako usiyetaka ukweli na kujua hulka za wabongo.sio kila mmoja ni mfanyabiashara kama diamond n.k
Kiama haujanielewa mimi ni mshabiki wa kiba kuanzia muziki wake wa kwanza mpaka leo, his is good on that way.... Na mind you unaleta ushindani ila royal fans wa kiba ni wengi sana ambao ujana wetu tulikua nae. unapokuja na kusema ommy dimpo is better that Kiba, unaonekana sio kituko yu ila mpuuzi pia!
Kwa nini haukutaka wanamuziki kibao ambao wanaishi? Why kiba?????? Why.. basis ni zipi? Ommy dimpo will never accept your ideas, ommy wa nai nai na kajiandae hawezi kuwaza comparison, it does not make sense anyway