Ommy dimpoz: nimekaa na ally kiba, diamond hakuna aliyesama ana tatizo na mwenzie.

mpuyango

Member
Joined
Aug 17, 2016
Posts
60
Reaction score
68
fe3cdbebb06060313da0a6e51cdf9050.jpg

Star mmiliki wa Ngoma inayofanya vizuri kwa sasa ‘Kajiandae’, Ommy Dompoz, amefunguka na kudai kuwa tangu awe karibu na Mahasimu wawili Ali Kiba pamoja na Diamond Platnumz hakuna aliyewahi kutamka kuwa na tatizo na mwenzie.

Akiongea na The Playlist ya Times Fm jumamosi iliyopita, Ommy amedai mashabiki na Mitandao ndio inakuza swala hilo, lakini si Diamond wala Ali aliyewahi kutamka kuwa na bifu na mwenzio.

“Kwa bahati nzuri Nimekaa nao wote hakuna aliyesema kwamba ana bifu na mwenzie” alisema Ommy

Source: Timesfm
 
Napenda mziki wa dansi.....ila hauzungumziwi kabisa
 
fe3cdbebb06060313da0a6e51cdf9050.jpg

Menu

Star mmiliki wa Ngoma inayofanya vizuri kwa sasa ‘Kajiandae’, Ommy Dompoz, amefunguka na kudai kuwa tangu awe karibu na Mahasimu wawili Ali Kiba pamoja na Diamond Platnumz hakuna aliyewahi kutamka kuwa na tatizo na mwenzie.

Akiongea na The Playlist ya Times Fm jumamosi iliyopita, Ommy amedai mashabiki na Mitandao ndio inakuza swala hilo, lakini si Diamond wala Ali aliyewahi kutamka kuwa na bifu na mwenzio.

“Kwa bahati nzuri Nimekaa nao wote hakuna aliyesema kwamba ana bifu na mwenzie” alisema Ommy

Source: Timesfm

Ila hiyo kajiandae ni wimbo mbaya hamna kitu
 
Back
Top Bottom