Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakat anatafuta pesa hukuwepo mwache atumie.Umesahau ile kauli mbiu 'Sipangiwi'Yani hili jamaa linanikera, linapenda sana raha badala ya kufanya kazi, lenyewe kutwa kubadilisha ndege, mara Dubai, US, Italy, London, khaa! Tumekuchoka bhana, fanya kazi mtoto wa kiume hizo show off waachie akina Wolper na wema ,mbona wenzio akina diamond hawana huo upuuzi, wenzio wakisafiri kikazi kama bata sio kama unavyoendekeza wewe, hata kama unalipiwa bhana, unaboa sana, mxiew
![]()
Eeeh kila kona nakula vichambo, doooh hatari
Lakini akiliwa si.analipwa?Ndo anatumia mwacheniOmmy sio pesa yake labda kwa msiomjua unadhani domo aliropoka kusema jamaa wanamla nyuma , mbona hakubisha akaja kuongea kwa kuomba huruma ya wananchi. Tunamjua ommy hana guts hizo kamwe.
Ha ha ha pole sanaEeeh kila kona nakula vichambo, doooh hatari
Haaaaaahaaaaaaaa dah...jf kuna watu aseeee!Labda pia hiyo ni sehem ya kazi yake.
Halafu Ommy huwa hapangiwi yaani ukimpangia ndio una haribu kabsaa!
wivu tu unamsumbua hana loloteUmetoka kwa Mange umekuja tena Kwa Dimpoz
We mwana una matatizo si bure
Mkuu Ay hayuko sana na hao jamaa Ila FA na salaah ndo mabest hasa sijui walijuana liniGSM wana branch dubai na kawapelekea jicho jamaa washenga ni akina fa, ay , sallam, ukoo wa waarabu akina Salah kutoka Arusha wanamenya jicho la mmanyema taratibu.