Ommy dimpoz punguza starehe, unaboa...

Wakat anatafuta pesa hukuwepo mwache atumie.Umesahau ile kauli mbiu 'Sipangiwi'
 
Ommy sio pesa yake labda kwa msiomjua unadhani domo aliropoka kusema jamaa wanamla nyuma , mbona hakubisha akaja kuongea kwa kuomba huruma ya wananchi. Tunamjua ommy hana guts hizo kamwe.
Lakini akiliwa si.analipwa?Ndo anatumia mwacheni
 
Mzee wa kiki bila hit song anauza dimpoz zake tu
 
live ya life...Hatupangiani kaenda kwa pesa yake na anastarehe na pesa yake sijui kinakuuma nn.
 
Huyu jamaa atakua mtaaaami sana ay
 
GSM wana branch dubai na kawapelekea jicho jamaa washenga ni akina fa, ay , sallam, ukoo wa waarabu akina Salah kutoka Arusha wanamenya jicho la mmanyema taratibu.
Mkuu Ay hayuko sana na hao jamaa Ila FA na salaah ndo mabest hasa sijui walijuana lini

Yaani hata urafiki Wa Ay na FA unachacha siku hizi

Wa FA na salaah unanoga.

AY na Fid Q nao unanoga .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…