Ommy dimpoz punguza starehe, unaboa...

Nani hajui ww ni team daimondi!!!!
 
Hv unazan kwa upuzi unaoendelea humu tz hata mm ningekuwa na mkwanjwa kwann nisiende kula bataa ughaibuni kupunguza stress za koloJiPiMe tuu
 
Hana hit song, hana show. Hizo pesa anapata wapi?? BASHITE tuletee huyu mtu central
 
Nyie ndio watanzania wenye wivu Ama kweli mtu anapamban na maisha yake wew yakuuma nin,, embu tafuta hela ukizipata na wew kapande ndege Hakuna atakaekuuliza,,,, @[HASHTAG]#ukiposti[/HASHTAG] kitu ufikirie Kwanzaa
 
Sasa hivi si hakuna kupangiana?
 
Kwa mtazamo wangu naona pengine Warumi ni kijana na Ommy ni kijana mwenzie, pengine Warumi kaona kijana mwenzie hiyo hela anayo ipoteza kwa show off sisizo kuwa na tija ni bora hiyo hela ange invest!

Siku dimpoz akipata matatizo na anahitaji msaada wa kifedha mtaanza kumkashifu huu ndiyo wakati wenyewe wa kumchana ukweli

Diamond akitoka nje ya nchi yeye anaenda kupiga mtonyo! Yeye akitoka hamna cha maana..
 
ila namsifu sana....nadhani amejiwekea nadhiri kuhusu kutalii....
 
Hiyo ni part ya promotion ya GSM Travel and tours ltd, huyo hata ukimuona gym sea cliff hotel ashalipiwa na gsm kundi. Mwache mtoto wa kimanyema ale bata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…