Ommy dimpoz punguza starehe, unaboa...

Kwani binamu hujui kama huyo ni mchonga nakshi wa kimataifa?mziki ni cover tu
 
Kama pesa inaruhusu afanyaje acha wivu ww
 
Akija kuomba pesa za kupelekwa india mseme hayo hayo
 
Usinipangie cha kupost, hujaninunulia simu mxieee
Binamu naona wamikoani wanakuchemsha, issue za jiji wanazijulia wapi wengi wao walifika mjini kwa kusoma vyuo vikuu , huku wakiiwaza kariakoo watoto wa kariakoo wanaiwaza joeburg.
 
Usinipangie cha kupost, hujaninunulia simu mxieee


Halafu we inaelekea una njaa mbaya. Kazi kuwabania wenzio tu. Sometimes fanya utoke kidogo usimsikilize Le Mutuz, Bongo rhumba kali hapo!
 
Fanya kazi zako jamani unakacrika na maisha ya mtu hebu muache ucmfuatilie...[HASHTAG]#ucnipangie[/HASHTAG]
 
Asije akawa anaishi kwenye nyumba za kupanga tena vyumba vya huani! Mshaurini awekeze au ajenge, hacheni kumpa sifa za kijinga wakati mwenzenu anapotea, muulizeni Mr Nice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…