Ommy Dimpoz: Ugonjwa wangu ulisababishwa kunywa kitu chenye sumu, inabidi niende kutibiwa nje

Juzi kuna member hapa alianzisha thread kua Ommy yuko hoi ICU na yeye anadai alienda hosp kumcheki kwa mbwembwe akasema saa yoyote anaweza kukata moto na mods jukwaa hili walivyo wavivu ule uzi ukaendelea kua hai na mada ambayo ilikosa uhalisia,leo Ommy anaongea hapo na Millard.
 
Funzo:Tuwe makini sana na watu tunao_hang nao around,kunywa vitu hovyo hovyo vya kupewa na watu bila wewe kujua chanzo vilivyotoka ni hatari,unaweza ukalisha kimeta au polonium210.
nakazia mkuu...
ndio maana Daimond hutembea kila sehemu na mama yake.masuala yote ni yeye..aliona mbali!
kuna watu waharibifu sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo kasema yeye ila sisi huku mashabiki

Tunakuambia stori ipe kichwa cha habari ww

Habari kamili tutakupa sisi
Uyu kapigwa juju na familia ya mond bin laden baada ya kumtukana Bi sadra kuwa kalala nae

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa udhamin wa iman za kiafrika
Kwani mwanamke na mwanaume wakilala nimatusi? Mi najua matusi Kwa jinsia moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo kasema yeye ila sisi huku mashabiki

Tunakuambia stori ipe kichwa cha habari ww

Habari kamili tutakupa sisi
Uyu kapigwa juju na familia ya mond bin laden baada ya kumtukana Bi sadra kuwa kalala nae

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa udhamin wa iman za kiafrika
juju halipo ila kama Sandra anao ndo kama nachomsumbua kwani alilala naye peku
 
Mtoa maada bila shaka ni mzalamo wazalomo akili zenu mnazijua wenyewe.kupigwa juju nini fafanua najua utasema kuroga kuroga nini?maradhi yapo na yapo kwa ajili yetu moja ya vitu vya kijinga ambavyo hutakiwi kuchochea kamwe ni mambo ya ushirikina.omi dimpoz hajarogwa ni maradhi tu yamemukuta kama ambavyo yangenikuta mimi na wewe

Mkuu naona umeitendea haki ID yako.
 
Back
Top Bottom