Ommy Dimpoz: Ugonjwa wangu ulisababishwa kunywa kitu chenye sumu, inabidi niende kutibiwa nje

Juzi kuna member hapa alianzisha thread kua Ommy yuko hoi ICU na yeye anadai alienda hosp kumcheki kwa mbwembwe akasema saa yoyote anaweza kukata moto na mods jukwaa hili walivyo wavivu ule uzi ukaendelea kua hai na mada ambayo ilikosa uhalisia,leo Ommy anaongea hapo na Millard.
 
Funzo:Tuwe makini sana na watu tunao_hang nao around,kunywa vitu hovyo hovyo vya kupewa na watu bila wewe kujua chanzo vilivyotoka ni hatari,unaweza ukalisha kimeta au polonium210.
nakazia mkuu...
ndio maana Daimond hutembea kila sehemu na mama yake.masuala yote ni yeye..aliona mbali!
kuna watu waharibifu sana...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mwanamke na mwanaume wakilala nimatusi? Mi najua matusi Kwa jinsia moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
juju halipo ila kama Sandra anao ndo kama nachomsumbua kwani alilala naye peku
 
Mkuu naona umeitendea haki ID yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…