Ommy Dimpoz: Ugonjwa wangu ulisababishwa kunywa kitu chenye sumu, inabidi niende kutibiwa nje

Sumu? DK Sucking? K sucking? ......
kuna mtu anatafutwa hapa ili apewe lawama...
 
mimi sio tabibu mamii..mie najuaga kuna wanaofanyiwa scan,so hiki kinyama sijui nini hata sielewi
Yeah nimeona...but cancer si ndio upimaji wake huo or kuna alternative?

Sent using Jamii Forums mobile app
Njia sahihi zaidi ya kupima Cancer ni kwa Biospy
Ambapo Pathologist mara nyingi kwa kutumia msaada wa Radiologist humu inject mtu then anatoa kinyama cha hilo eneo
Anachukua kile kinyama kama sample anaenda nacho pathologica laboratory

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mnhhh asa aliyekuja na cancer ni nani?au zilikua kiki
alisemaga mwenyewe... siumeona hapo dkt wa pili alimwambia ana kansa ya koo... ila huyu wa mwisho ndio kasema kuwa ni sumu..

so kwa waliopataga habari kipindi majibu yamesema ni kansa hadi sasa alivyozidiwa wakaunganisha humohumo kuwa ndyo ile kansa ileeee
 
Hizi title muwe mnazirudia kusoma kabla ya ku click 'post'

"Inabidi niende kutibiwa nje"...nje wapi tena, Germany?
 
Nakumbuka na nilicomment kuwa hiyo habari imeshakanushwa baada ya mimi kuiona kwenye moja ya blog reliable.

Wabongo waongo sana, na Mtu anafanya tu makusudi roho yake ijisikie raha.

Na tujifunze tusijitosheleze tu na taarifa zinazobandikwa na kila Mtu, wengine ni Watu wa hovyo tu wenye chuki zao.
 
Amemaanisha nje ya Afrika..maana Tanzania, Kenya na Afrika Kusini tayari ameshaonana na madaktari..!

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hueleweki Mkuu, kwa hiyo hata baada ya hiyo operesheni huko SA, bado anahitaji matibabu zaidi?

Nahisi huna uhakika na unachojaribu kutuhabarisha hapa.
 
Bado hueleweki Mkuu, kwa hiyo hata baada ya hiyo operesheni huko SA, bado anahitaji matibabu zaidi?

Mbona hilo linafahamika? Yeye yuko SA, kwa matibabu kwahivyo licha ya hayo matibabu, yeye ndo anayeumwa na anaona bado anahitaji matibabu zaidi ya kwenda nje ya Afrika kutibiwa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani apewe sumu ila tumbo zima,ini zima kabsa,kilichozurika ni eosophagus tu? Watu wanakunywa pombe kali,vuta sigara sana,wanajiweka kwenye hatr ya magonjwa kama haya,wakiulizwa wanasema sumu,sumu iache tumbo salama iumize mrija wa chakula tu!?

Labda aliulizwa kama aliwahi kunywa kitu kikali kinachounguza mfano maji ya betri,acid ikaumiza esophagus,hakuna uhusiano wa sumu ya chakula/kinywaji na mrija wa chakula na hakuna daktr atahusianisha tatzo la dimpoz na kupewa sumu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaogopa kusema wether ni Benign tumor au Malignant tumor
 
Sumu? DK Sucking? K sucking? ......
kuna mtu anatafutwa hapa ili apewe lawama...
Yeye ameongea madaktari walichosema!
Sasa Wabongo daaaa!

Kwahiyo ulitaka apindishe alichoambiwa hospitali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…