Ommy Dimpoz: Ugonjwa wangu ulisababishwa kunywa kitu chenye sumu, inabidi niende kutibiwa nje

Tatizo vijana wanapiga sana deki acheni hizo mambo..za kuzama uvinza..

Madhara yake yanakuja baadae alafu mnaanza tashwishwi mara hivi mara vile.
 
Aisee jana nmeumia sana

Hawa wasanii wanarogana mnooo

*I shall kindly Knee to leave my Pride*
 
Nilishindwa kuimaliza interview yake, bro anaongea kwa shida sana, koo limekauka anaonesha yupo kwenye maumivu makali, ila maskini hakuacha kutabasamu kama kawaida yake na kuonesha kua 'all is well'

Get well soon big bro, you have my prayers.

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
 
Kumbe we umenielewaje?
Unashabikia matatizo ya mwenzio wakati na wewe ni marehemu mtarajiwa, hujui utakufaje... wakati mwingine uwe na utu katika ishu sensitive, Ommy alikua mzima juzi tu hapa leo muone alivyo kwa hivyo usijihisi umemaliza safari bado ni ndefu.

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
 
ENERGY DRINK NI SUMU.
MOFAYA NI ENERGY DRINK.
OMMY DIMPOZ NI MTU WA MWANZO KUONJA HII KITU KAMA NI TAMU
 
Kweli ukinywa sumu ni dhahiri mfumo wa chakula ndiyo unaenda kuathirika.Nina mfano hai wa jamaa yangu (R.I.P) yeye alikunywa sumu lakini ile sumu haikumuondoa palepale.Jamaa ameteseka takribani miezi 6 akila kwa mrija.Mpaka umauti ulipomfika.Jambo la kushukuru Mungu Huyu msanii ameweza kupata ahueni na anaendelea vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…