Ommy Dimpoz umeharibu wimbo wako kwa kutomuweka Christian Bella kwenye video

Ommy Dimpoz umeharibu wimbo wako kwa kutomuweka Christian Bella kwenye video

Ila wimbo ni mzuri sana.. Nimemuelewa sana Ommy.
 
Kweli bhana Bella kazingua hata kwenye audio..kaharibu ata hisia za wimbo na mikelele yake.
 
Back
Top Bottom