Mara azuiliwa mara afukuzwa
Kiswahili kwa Wakenya ni shida....
Haha haa haa...kumbe kweli kiswahili ni shida kwenu. Ni bora ungenyamaza.Ni shida lakini vitabu za kiswahili wanaweza mob znatoka kenya kuliko TZ
Msanii Ommy Dimpoz arudishwa 'Airport' nchini Marekani baada ya kutokuwa na kibali cha kufanya show. Habari zilizotufikia zinasema Dimpoz alikataliwa kuingia nchini humo baada kushindwa kufwata msharti ya visa, ambapo visa aliyosafiria ilikuwa sio visa inayomruhusu kufanya show, na hivyo kumtilia shaka.
https://www.facebook.com/EARadio/ph...01149.390756010942311/968453193172587/?type=1
kadoda11 Geza Ulole
Ni shida lakini vitabu za kiswahili wanaweza mob znatoka kenya kuliko TZ