MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Msanii Ommy Dimpoz arudishwa 'Airport' nchini Marekani baada ya kutokuwa na kibali cha kufanya show. Habari zilizotufikia zinasema Dimpoz alikataliwa kuingia nchini humo baada kushindwa kufwata msharti ya visa, ambapo visa aliyosafiria ilikuwa sio visa inayomruhusu kufanya show, na hivyo kumtilia shaka.
https://www.facebook.com/EARadio/ph...01149.390756010942311/968453193172587/?type=1
kadoda11 Geza Ulole
https://www.facebook.com/EARadio/ph...01149.390756010942311/968453193172587/?type=1
kadoda11 Geza Ulole
Last edited by a moderator: