PostGE2025 Ommy Dimpoz: Walioona tumewadhihaki nawaomba msamaha

PostGE2025 Ommy Dimpoz: Walioona tumewadhihaki nawaomba msamaha

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Akitaka tumsamehe atulambe midudu watanzania wote wa kiume
 
Msamaha wa nini tena? Mbona ujumbe ulikuwa clear kabisa "Tuache kulalamika, tufanye kazi" Ni muda wa Kila mtu kufanya kazi yake sasa. Hakuna walichotukosea kuhitaji msamaha wa sisi wananchi, ila ujumbe tuliupokea kwa userious mkubwa sana na tumeamua kwa dhati kuufanyia kazi.
UJUMBE ULIKUA SAWA JE LILE TUSI?
 
WASHAANZA KUSTUKA YANAYO MKUTA MKUBWA FELLA, VIONGOZI WAKO BIZE WASHA PATA MADARAKA
 
Hii pimbi mchicha inaomba msamaha wa nini?

Mbona hawajawahi kuongelea au kukemea
au kulaani mauaji ya 29oct?
watuache hatutaki usumbufu!
 
Back
Top Bottom