lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Kamfunika na shuka ama kanga..
Kamfunika na shuka ama kanga..
dah uyu dogo ana thread nyng kwl mbna ashuk leo wala kexoHongera kwa kumtaja Diamond maana ndio kama msanii peke yake TZ anayetamaniwa kwa kazi yake. Unaonyesha kujaribu kumshisha ila unajionyesha kwa wivu Unasema wimbo huu Maana ni bomba sana mtu uwezi kuachia katikati kuangalia Enjoy Diamond hapa https://youtu.be/moE_dXt6-CQ Yupo juu
Uko IG wanamchana ommy kwamba ile video ya wanjera kakopi kama ilivyo.
jamani ukweli uko hivi OMMY DIMPOZ anamfunika diamond kwa kutoa nyimbo kali na video bomba zaidi. jamaa anajua kuimba hatari na kila nyimbo anayotoa ni nouma sana. kama unabisha njoo hapa uzungumze
mkuu hizo data feki