lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Jamani ukweli uko hivi OMMY DIMPOZ anamfunika Diamond kwa kutoa nyimbo kali na video bomba zaidi.
Jamaa anajua kuimba hatari na kila nyimbo anayotoa ni nouma sana.Kama unabisha njoo hapa uzungumze.
Jamaa anajua kuimba hatari na kila nyimbo anayotoa ni nouma sana.Kama unabisha njoo hapa uzungumze.