Chief Ortambo Ikumenye
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 247
- 503
Na huu ndo ukweli..!! Hata anayebeza ni vile tu hajapata nafasi hiyo, angeyafanya hayo hayoSio Ronaldo tu
Nimeona kapiga na kina Sancho,Fred na wengine
Kiufupi hata ningekuwa mimi nimepiga picha na hao watu ningetuma picha hadi kwenye group la ukoo
Na kila picha ningetengenezea fremu yake
Na wengine ka si shoga, basi utasikia.. FREEMASON YULE..!! Sijui tupojeTuache kuwa na wivu watanzania.. kwahiyo mtu akiwa na hela halafu hujui michongo yake basi anajeuka kuwa shoga?
Mi nahisi sio sawa kabisa
kwa nini wasilete huo ushahidi wa kijana wa kinondoni?Kwa li nchi kama TZ hasa ukiwa msaniii,jifanye serious ujuavyo jifanye kauzu ujuavyo
watu wakitaka mjua mpenzi wako wanamjua tu,kuna watu wanashinda juu ya mapaa
wakichungulia tu ndani ya ukuta wa nyumba ya flani leo kaingia nani aende akauze connection
ila kwa mapaparazi wote wa BONGO wamedunda kutuonyesha dem wa Ommy dimpoz
sasa kama Tanzania ina wambea kiasi hiki na wote wameambulia patupu kwenye kumjua au
hata kumuona omari na mwanamke,kwanini watu wasiseme Ommy ni kijana wa Kinondoni?
Hawana ushahidi ila ushahidi wa mazingira nao mahakamani unapokelewa na Hakimu anakuogesha mvua za kutosha tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Wanaume mna makasiriko kwa Mwanaume mwenzenu, kama mnadhani kutoa jicho ndio kunamfanya Bwana Omary awe matawi ya juu toeni na nyieeeeeee