Ommy Dimpozi apiga picha na Cristiano Ronaldo

Sio Ronaldo tu
Nimeona kapiga na kina Sancho,Fred na wengine

Kiufupi hata ningekuwa mimi nimepiga picha na hao watu ningetuma picha hadi kwenye group la ukoo

Na kila picha ningetengenezea fremu yake
Na huu ndo ukweli..!! Hata anayebeza ni vile tu hajapata nafasi hiyo, angeyafanya hayo hayo
 
Kwa li nchi kama TZ hasa ukiwa msaniii,jifanye serious ujuavyo jifanye kauzu ujuavyo

watu wakitaka mjua mpenzi wako wanamjua tu,kuna watu wanashinda juu ya mapaa

wakichungulia tu ndani ya ukuta wa nyumba ya flani leo kaingia nani aende akauze connection

ila kwa mapaparazi wote wa BONGO wamedunda kutuonyesha dem wa Ommy dimpoz

sasa kama Tanzania ina wambea kiasi hiki na wote wameambulia patupu kwenye kumjua au

hata kumuona omari na mwanamke,kwanini watu wasiseme Ommy ni kijana wa Kinondoni?

Hawana ushahidi ila ushahidi wa mazingira nao mahakamani unapokelewa na Hakimu anakuogesha mvua za kutosha tu.
 
kwa nini wasilete huo ushahidi wa kijana wa kinondoni?

Sent from my CAM-AL00 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume mna makasiriko kwa Mwanaume mwenzenu, kama mnadhani kutoa jicho ndio kunamfanya Bwana Omary awe matawi ya juu toeni na nyieeeeeee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom