Ommy Dimpozi apiga picha na Cristiano Ronaldo

Ommy Dimpozi apiga picha na Cristiano Ronaldo

Kwanza hyu Kijana Ana elimu gani mnk huwa ujifanya msomi Sana [emoji38] as if Kwamba nae kala kitambu na kuandika research

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji848]
Screenshot_20220825-192016_Twitter.jpg
 
Sio Ronaldo tu
Nimeona kapiga na kina Sancho,Fred na wengine

Kiufupi hata ningekuwa mimi nimepiga picha na hao watu ningetuma picha hadi kwenye group la ukoo

Na kila picha ningetengenezea fremu yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lol
 
Sisi wahenga miaka yetu ile akitokea mshikaji mtaani hata kama hujui mishemishe zake na anakula bata za kinoma...
Tulikuwa na fikra mbili ambazo zinakutia machungu ya maemdeleo na kumwona kama 'idol'
1. Muuza Unga 'ZUNGU , Mzee wa mitaa ya Pashwari kama wanavyoita na huko ni Pakistani....
2. Baharia 'Seaman' wa kweli alizamia meli na kutokezea Italy au Ugiriki....

Na ndio ukweli wenyewe miaka hiyo....lakini siku hizi watu wamekata tamaa ya kujituma na kila anayeoneka kufanikiwa wanataka wajue anafanya nini na kama hawajui basi wanawaza kilicho kwenye matamani yao ya kufi...
 
Hilo domo!! Sasa![emoji848][emoji848][emoji848]
 
Hizo picha zote Pozi lake lilelileee..domo panaaa
 
Back
Top Bottom