Ommy Dimpozi: Mabinti wananisumbua sana

Nimemuamini Ney wa mitego, Ommy Dimpoz jogoo hapandi mtungi,yaani we upo dsm demu wako yupo mashariki ya mbali na still unabwabwaja kusumbuliwa na mademu wakati huyo demu wako ni kama Hauna tu......Pole Dimpoz nenda hospital watakutibia tatizo lako la kutosimamisha ndingo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kadir dimpoz anavo ongea ndo ana zid kuprove ni kwli kuna shda

Akae kimya tuu
 
Wait!!!,tuwe serious kidogo....ni kweli jamaa hapandi mtungi au ana kidude kidogo?? [emoji55] [emoji55]
 
Ah! Wapi uongo mwingine wa kitoto kabisa.
 
Mwanaume huwezi kulalamika kua wasichana/ wanawake wanakusumbua, hawa ni wanaume wa mkuyati na supu ya pweza.

Naanzaje kusema wanawake wananisumbua.
Mtoto akililia wembe anapewa.
it can happen mkuu... sometimes kuna vijana wanapata usumbufu

Ni vitu vya nadra kwa wenye bahati, wala haina shida mkuu

Uanaume sio kwamba kila kichaka unye unye tu
 
Mh! nna shaka huyu dame kachomolewa kwenye internet ama sivyo atundike picha hapa akiwa naye close,huyu ni fix tupu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
it can happen mkuu... sometimes kuna vijana wanapata usumbufu

Ni vitu vya nadra kwa wenye bahati, wala haina shida mkuu

Uanaume sio kwamba kila kichaka unye unye tu
Hahahaaa, inawezekana kweli mkuu ila hata usipokunya kila kichaka basi sio ndio utangaze.

Wanaume hatuna hulka ya kusema sema mambo hovyo, hiyo ni tabia ya kike, wanawake ndio hua wanapenda kusema wanasumbuliwa na wanaume ili aonekane tu kua yeye ni wa maana sana, mwanaume unapokuja kusema eti unasumbuliwa na wanawake nashangaa kweli.
 
Dah hivi hawa vijana wasiku hizi wana matatizo gani? Kujisifia tu upuuzi
 
Huyu jamaa bhana, yaani mademu wote Hawa waliojaa hajawahi kuonekana na binti, Leo anamuanika mpenzi wake anaonyesha picha Tu.
 
Wenzie wapo penye research wajue kama mpini unasimama yeye anapiga mayowe kuwa wanamsumbua kalagabaho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…