Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo la wabongo hatujazoea kuambiana ukweli......Tumekalia unafki na kuogopana.
Nakuuliza mheshimiwa wajojo Ngwea amekufa TAJIRI au MASIKINI..????
Mwanamuzik chipukizi Ommy
Dimpozi,ameonyesha kuwa na kiwango cha juu sana cha dharau kwa
kumdhihaki na kumtusi mtu aliyetangulia mbele ya haki."SITAKI NIKIFA
YATOKEE KAMA YA NGWAIR,AMEKUFA AFRIKA KUSINI,HATA KUUSAFIRISHA MWILI
KUULETA TANZANIA IMEBIDI MPAKA WATU WACHANGIE,ILE NI AIBU SANA",alisema
Ommy kwa dharau.
Vile vile Ommy baada ya kushinda tuzo ya video bora ya mwaka Ommy
alibwabwaja:"jamani tumechoka kuzika wasanii maskini wenye majina
makubwa",kama vile haitoshi Ommy alizidi kusisitiza kuwa HATAKI KUFA
MASKINI KAMA NGWAIR,je hii kauli ni nzuri kwa mtu aliyetangulia mbele ya
haki???,
Ujumbe uko sahihi...amekosea alipotia jina la marehemu as reference.
Hivi unajuwa kusoma wewe!? i doubt.Mnahakika gani kuwa amesema hayo maneno?
msiunge mkono kitu ambacho hamna uhakika nacho.