Ommy Dimpozi: Sitaki kufa maskini kama Ngwair

Kila mtu anapaswa kuuchukia umaskini lakini matamshi yake hayakupaswa kuwa hivyo ili kuonesha ni namna gani anavyouchukia.
 
Wahenga walisema"upokua unasema cha muhimu sicho unasema bali kile ambacho adhira inapokea"mwisho wa kunukuu
 
Tatizo la wabongo hatujazoea kuambiana ukweli......Tumekalia unafki na kuogopana.
Nakuuliza mheshimiwa wajojo Ngwea amekufa TAJIRI au MASIKINI..????

Mi nilisikia kaka kuwa mshkaji wa ngwair atasafirisha vitu vya marehemu morogoro ambavyo alivitaja ni kitanda,,tv,deki,godoro na sabufa maeneo ya sinza mori,ambapo marehemu alipanga,pia inasemekana marehemu alinunua kiwanja maeneo ya goba japokuwa hakuwahi kumuonyesha mtu
 
Last edited by a moderator:

sion alichokosea ommy dimpoz amezungumza ukwel hta km mchungu inabid 2 umeze hlf hil ni tatzo lpo sna hpa bongo ukiongea ukwel 2 wa2 wanaanza kukushambulia
 
Ujumbe uko sahihi...amekosea alipotia jina la marehemu as reference.
 
he did the right thing at right time in wrong way
 
Mnahakika gani kuwa amesema hayo maneno?
msiunge mkono kitu ambacho hamna uhakika nacho.
 
Nani ana hakika kuwa Omy dimpo kasema hayo?
mwachieni jamaa wa watu apige kazi
 
Si vizuri kusema vibaya marehemu sote njia moja au yeye amepanga na mungu kuwa atakufa tajiri???
 
Mh kumbe kaburini pia umaskini na utajiri vinahusika eeh!?? Na we omary dimpoz usicheke mamba kabla hujavuka mto. Kesho yako huijui
 
Freedom of speech. I dig Ngwair and all, but Ommy has a right to his opinion without fear of dated conventions.

Kinachochukuliwa kama dharau na wengine kwa wengine sicho, wengine wataona kuchukuliwa huku kama fake modesty culture inayoturudisha nyuma. Inakuwa mtu akifariki tu hasemwi vibaya. I do not subscribe to hagiography.

This is a new age, with a new music, artist and transparency.

The dead are not sacrosant.

Also, controversy sells.

I never knew there was somebody called Ommy Dimpoz. Now I do.
 
Aliwazalo mtu ndio huwa!!! Perception creates reality!!!
 
Dah, hiyo ni kufuru; itabidi amwombe Mungu wake kwa nguvu sana ili asamehewe kwa maneno hayo. Hakuna anayejua atakufa tajiri au maskini hata kama ana utajiri sasa hivi. Kuna mambo mengi yanayoweza kumtokea mtu hapa duniani kabla hajafa, akapoteza mali zake zote. Mfano mdogo tu ni kuwa iwapo atapata ajali ya gari akastua uti wa mgongo, anaweza kuparalyze na kuishia kufa maskini. Au anaweza kugeuka kuwa mchizi kwa sababu yoyote ile na kuishia kufa akiwa maskini ambaye hata mastaa hawatakusanyika kumkumbuka tena. Tulifundishwa kuwa kabla hujafa ni lazima uujue kuwa hujaumbika. Anayekupandisha juu ndiye huyo huyo anayeweza kukutelemsha chini akitaka.
 
Namshangaa sana huyu dogo kwa jeuri zake nyimbo zake TATU alizotoa imekuwa jeuri,majivuno na kiburi kwa wasanii wenzake,hali yakuwa nyimbo zenyewe kasaidiwa,ommy anasema yeye hawezi kufa maskini km NGWEA,Ommy alimponda sana mangwea kwa kusema hata msiba wake mambo mengi yalikuwa yanaendeshwa kwa michango ya kuunga unga tu,amesema yy hawezi kufa maskini.
Cha kujiuliza kwa huyu Ommy ambae ni msanii chipukizi sana,umejiamini nini kwa kauli za kumkashif marehemu km hvyo?walikuwepo wasanii wangapi waliovuma na sasa hawajulikani ht walipo??wangapi wamefilisika??
 
hata mangwea hakuupenda umasikini wala hakupenda kufa
na hiyo yote alikuwa anafaiti ili aweze kutoka,
naye aangalie asikufuru waliotangulia kwani siku watakutana uso kwa uso.
 
Kanatafuta gear ya kutokea, mfano leo ndio nikamfahamu, nyimba zake hata sizifahamu pia weka na picha yake, maana katoa dharau sana atakuwa hana wazazi ama ndio malezi yale ya kukulia danguro!
 
amna omy alkemea wanaonyonya wasanii kama ruge na wewe ni mfuasi wa mnyonyaji ruge clouds wamemtumia sana ngwea kwa zaidi ya 6years ila hakuna ngwea alichovuna...omy dmpoz kaongea ukweli ni wasanii wachache wachanga na wazur kama omy dmpoz wenye uwezo wa kuwakemea wanyonyaji kama kna kusaga na ruge na sasa wanyon yaji wanaona wasanii wameamka kama nigeria,ghana,kenya na uganda mwsho wenu umekarbia nyie panya na redio zenu za wafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…