Ommy Dimpozi: Sitaki kufa maskini kama Ngwair

.......guys,who is ommy dimpoz....is the person a he or a she artist?
 
Mi nahisi hapa tatizo ni title ya thread na hata habari yenyewe kwenye Global Publishers, maana Ommy kaongea ukweli, wasanii wa bongo wanakufa maskini sababu nyingi ikiwemo kwanza support yenyewe kutoka kwa watu hakuna, tukianza na raia wenyewe sio kama nje ambapo watu hununua music, bongo copy ni nyingi mno huezi ukategemea kuuza ukapata hela, pili wasanii kudhulumiwa na makampuni ya music, tatu wanaojiingiza kwenye madawa ya kulevya. Sasa Ommy uongo wake uko wapi? labda tu mseme tatizo hakujua jinsi ya kuji-express, na tatizo wengi wakisoma kichwa cha habari tayari moyo wanau-condition kua kosa lipo kweli, ukisoma lazima uone kosa, ila endapo heading ingekua "Ommy kaongea ukweli juu ya hali za wasanii bongo" ungeona watu wangeipokea vipi. Its natural
"OMMY: Ngwair alikuwa na ‘stresi’ za maisha ndiyo maana alikuwa anakula unga.
MWANDISHI: Ulishawahi kumwona Ngwair akitumia unga?" S
Sasa hadi hapa napo panahitaji explanation kweli? au ni mwandishi tu alikua anampango wa kumchafua jamaa kupata kitu cha kuandika? Its obvious msela alikua anatumia kwa nini? Kama umeona video ya PFunk interview kuhusu kifo cha Ngwair, sikiliza vizuri maneno anayosema, alisema the same thing "Ngwair kilichosababisha akaingia huko ni stress za maisha"
There we go again, kulekule wasanii hawafanyiwi haki, sasa Ommy kuongea ukweli na kwa kua wenye chuki binafsi wanabadilisha maneno ili kumchafua, basi kilal mtu anafata mkumbo, Mi nachotaka tu mtu aniquote afu anionyeshe kua uongo ni huu, au-quote kabisa nisome..
 
kiukweli kabisa ommy yupo sahihi hapo mwandishi kapindisha story kwa sababu binafsi, ommy anatetea wasanii wanakuwa na majina makubwa lakini hawapati wanachostahiki kutokana na unyonywaji mfano mzuri ni ngwair he was a very gud n talented artist lakini at last sanaa haikumtendea haki kutokana naunyonyaji wa wary.pole ommy ukweli always unachukiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…