Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Haji Manara mpiga debe mkuu wa Omog tunakueleza kuwa mwisho wa Omog umefika. Tunachotaka kusikia kuwa akitua Dar ataelekee kwao moja kwa moja.
Kama vipi nawe Manara tuachie timu yetu tutatafuta msemaji mwingine.
Wewe endelea kucheza visingeli, ushabiki wa mpira hauwezi.