Omog anataka kuiletea Simba SC mpasuko, mgogoro na kuamsha fitna

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
Wana simba nawatahadharisha na fitna anayotaka kuileta mwalimu Omog kutaka kuigawa dressing room tufahamu dressing room kuigawa ni kuiharibu timu na kujitafutia matatizo.Tujikumbushe Mourinho alivyokuwa Madrid aliigawa dressing room na kila mmoja ni shahidi kile kilichomtokea pia Benitez alivyopoteza ushawishi kwenye dressing room aliangukia pua.

Omog ni mwalimu wa zamani wa Azam fc na msimu huu kawasajili wachezaji takriban 4 aliowafundisha Azam ambao ni Bocco,Nyoni,Manula na shomari hilo halina tatizo kama aliwapendekeza na wapo kwenye mipango yake ila tatizo linakuja pale anapoleta upendeleo na kutaka kugawa wachezaji.Tunafahamu Omog unampenda sana Bocco sababu ulimfundisha Azam lakini kumpa unahodha hilo hatuliafiki.

Mchezaji kasajiliwa tena mgeni kisha anapewa unahodha hivi wachezaji waliotumikia muda mrefu watajisikiaje tatizo sio mkude kuvuliwa unahodha bali kumkabidhi mgeni unahodha hapa Omog analeta ubesti tu

Yaani leo hii morata apewe ukapteni mbele ya akina Cahill ,willian ? Au salah apewe ukapteni mbele ya akina Henderson ,coutinho .

Na lau ingekuwa amri yake basi Nyoni pia angepewa unahodha mkuu ila moyo unamsuta

Mchezaji mgeni haijui camp vizuri ,yeye ndiye anayehitaji msaada ila ndiye anapewa jukumu la kuongoza ni wazi hii ni hatari kwa wana msimbazi huenda ikaleta mpasuko ndani ya klabu na mgogoro na kupelekea timu kupata matokeo mabovu.
 
Tena kasajili vikongwe wakati sisi Simba tunaamini ktk vijana,yaani mtaa wa pili wanapunguza wazee, sisi tunasajili wala pensheni. Siioni tena Simba ya vijana, taratibu tunajuana mbele ya safari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana simba nawatahadharisha na fitna anayotaka kuileta mwalimu Omog kutaka kuigawa dressing room tufahamu dressing room kuigawa ni kuiharibu timu na kujitafutia matatizo.Tujikumbushe Mourinho alivyokuwa Madrid aliigawa dressing room na kila mmoja ni shahidi kile kilichomtokea pia Benitez alivyopoteza ushawishi kwenye dressing room aliangukia pua.

Omog ni mwalimu wa zamani wa Azam fc na msimu huu kawasajili wachezaji takriban 4 aliowafundisha Azam ambao ni Bocco,Nyoni,Manula na shomari hilo halina tatizo kama aliwapendekeza na wapo kwenye mipango yake ila tatizo linakuja pale anapoleta upendeleo na kutaka kugawa wachezaji.Tunafahamu Omog unampenda sana Bocco sababu ulimfundisha Azam lakini kumpa unahodha hilo hatuliafiki.

Mchezaji kasajiliwa tena mgeni kisha anapewa unahodha hivi wachezaji waliotumikia muda mrefu watajisikiaje tatizo sio mkude kuvuliwa unahodha bali kumkabidhi mgeni unahodha hapa Omog analeta ubesti tu

Yaani leo hii morata apewe ukapteni mbele ya akina Cahill ,willian ? Au salah apewe ukapteni mbele ya akina Henderson ,coutinho .

Na lau ingekuwa amri yake basi Nyoni pia angepewa unahodha mkuu ila moyo unamsuta

Mchezaji mgeni haijui camp vizuri ,yeye ndiye anayehitaji msaada ila ndiye anapewa jukumu la kuongoza ni wazi hii ni hatari kwa wana msimbazi huenda ikaleta mpasuko ndani ya klabu na mgogoro na kupelekea timu kupata matokeo mabovu.
Daah
Mpasuko wake utaigharim simba kwa muda mrefu saana

Ngoja tuone lakini [emoji16] [emoji16]

Mkuu tulia dawa iingie taratibu nataka nikwambie kitu ndani ya simba kitu kinachoidhoofisha klabu ni uongozi. Wachezaj na fans hawana tatizo wanafanya kazi yao ipasavyo tutarajie kuona simba ya mkude na simba ya bocco na kibaya zaidi kuna majina makubwa yenye viburi kutokana na kupata mafanikio ya soka mf Okwi,Niyonzima,na wengineo. Kiukweli kabisa mafanikio ya yanga yametokana na mshikamano uliojengwa na klabu ya yanga pamoj na fans wao ila kwa simba ni tofauti kwani huwa haiishiwi na figisu ndan ya klabu sitoshangaa kuona mpasuko wa ndani kwa ndani baina ya wachezaji wenyewe ikiwa uongoz hautochukuwa tahadhari lkn pia kwa simba kumvua mtu ukapteni limekuwa ni jambo la kawaida refer kwa H.Isihaka nk.
 
Hio ndio hali yenu so mpambane nayo kadri mtakavyo shindwa[emoji36] [emoji36] [emoji36] watani zangu
 
Nakumbuka maneno ya Hamisi Kiza..." Uongozi tatizo"
 
Nyinyi washabiki ndio mnaibua haya mawazo ya kipuuzi. Alishavuliwa unahodha Hassan Isihaka akapewa mkude, mambo yakaenda bila kelele. Kuvuliwa Mkude mnaanza kelele! Kocha ndiye anayepanga nani afanye nae kazi, kwani yeye hataki kutengeneza CV nzuri hadi alete mpasuko?! Wabongo tunapenda kupredict negative kwenye kila maamuzi sijui kwanini?! Mwinyi kazimoto alishawahi kupewa kitambaa na kuvuliwa akapewa Isihaka wala hakukuwa na vurugu za mahoka kama hizi. Kweli acha ujinga ututawale milele!! Acha tuendelee kujaza server za Jf kwa nyuzi za kipuuzi kama hizi!

Arage Jekundu.
 
Timu inaenda kucheza kimataifa kuna post match,kuwasiliana na marefa ushawishi kwa wachezaji wa nje na wa ndani sasa mkude empty alipewa u captain ili abaki halafu mkude bado hajashinda chochote kuwazid kina bocco,niyonzima,okwi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chochote kitakacho tokea laumu viongozi,kwa Omong pale kama boya tu,kwani hakuna kocha duniani atakae pendekeza timu isajili wachezaji 13 na klabu ikamkubalia,haijatikeaga.Viongozi siku zote Simba ndio wanao leta wachezaji,wakibironga kocha ndo anae fukuzwa.Na hili ndo litakavyo kua ligi ikiisha bila ndoo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mpasuko simba labda kwenye sketi,kuwa na akili pana tu, simba ina boko,mwanjale,okwi,niyonzima na nyoni ambao wamepevuka sana,sioni ushawishi wa mkude kwa hao jamaa,km tu mwaka jana ilikuwa na vijana na yy anaongoza mgomo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sioni tatizo,mkude kama nahodha ameshindwa kujitambua,kipindi cha usajili alikua njia moja na ajib na ameongeza mkataba kwa kubembelezwa sana,tulikua na matola,nyagawa kama manahodha je uliwahi kusikia tetesi za wao kuhusishwa na Yanga au kuipelekesha klabu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom