Omog mkishamfukuza tuleteeni sisi...

Omog mkishamfukuza tuleteeni sisi...

Nanoli

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2015
Posts
3,735
Reaction score
5,974
Huyu Omog mnaembeza na kumuona sio kocha nzr.. Mie nawashauri viongozi wangu wa Yanga, waongee na Omog tupate huduma yake,...
Maana ninachokiona ni bora ya Omog kuliko kocha wetu Lwandamina.... Ninachokiona Simba tatizo sio Omog, tatizo ni wahenga walionao japokua wao wenyewe wamejawa Imani na kikosi chao.... Hivyo kwangu Omog ni bora zaidi kuliko Lwandamina...
 
Kwa hili bora Yanga mumchukue Omog tu, hafai kubaki Simba.
 
KOCHA WA SIMBA ANA WACHEZAJI WAZURI ILA HAJAJUA YUPI AMTUMIE KULINGANA NA MECHI HUSIKA. KWA YANGA nimefuatilia gemu zote tangu ligi ianze. nilichogundua ni kuwa tatizo sio uwezo wa wachezaji. ninachokiona kuna kutoelewana kati ya wachezaji na kocha, kama kuna kamgomo flani hiv. sijaona jipya kwa lwandamina. hajajua kuendana na wachezaji alio nao. hana plan B kama plan A ina shindwa kufanya kazi hasa timu inapozidiwa. angalia donald ngoma, sehemu anapotakiwa kufunga au kushambulia yeye anajiangusha. nahofia ligi ya mabingwa inakuja. aibu inayokuja ni kubwa kuliko tunayoipata sasa. magoli yaliyofungwa hadi sasa ni uwezo wa mchezaji binafsi na sio uwezo wa kiufundi wa kocha. Kuna wakati alilalamikiwa kanavaro kwamba ana amri ndani ya timu zaidi ya kocha na wachezaji wengine, inawezekana ikawa tatzo, pia tabia za uongozi kuingilia majukumu ya makocha ni tatzo sugu kwa timu zetu. maana kutoka kwa akina niyonzima sio bure ndani ya yanga.. dah! namwona babu na singida united kwa mbali wapo kimataifa!
 
Back
Top Bottom