Omond akiwa kituo cha polisi

Omond akiwa kituo cha polisi

Mjaluo bwege sana huyo, yaani baada ya kutengeneza jina (brand), sasa analiharibu tena kwa kulitumia vibaya.
 
Cost of living sisi hapa mafisadi yanatunyoosha tu.
 
Duh,kulalamikia cost of living huko
Kenya jamaa ni bwege

Ova

Hapo umaarufu umeongezeka mara dufu na tena siku akigombea ubunge anaonekana shujaa mkubwa, kilichowapa akina sugu mileage ni nyimbo za kiana harakati, leo bongo hakuna msanii wa kumsemea mwananchi kwa omondi hapo ujumbe umefika mbali sana
 
Mjaluo bwege sana huyo, yaani baada ya kutengeneza jina (brand), sasa analiharibu tena kwa kulitumia vibaya.

Umaarufu na brand hapo ndio vinaongezeka sasa maana wananchi watamuunga mkono kwenye movement zake nyingi
 
Mjaluo bwege sana huyo, yaani baada ya kutengeneza jina (brand), sasa analiharibu tena kwa kulitumia vibaya.
Wakati hapo ndo anatengeneza jina na umaarufu zaidi...

Bora ya huyo anatengeneza jina kwa kuwatetea wananchi...sisi huku bongo watu wanapata umaarufu kwa connection za uchi, umalaya nk mfano mtu kama kajala
 
Uchawa kwa ccm
 
Kulalamikia cost of living kuwa ni kubwa kwako mwenzetu ni ubwege?
Mtaweza kudai katiba mpya kweli nyie kwa uoga huu?
Wacha uoga, mtazamo tu na mawazo, ya watu kama hawa, hawaoni umuhimu wa kulilia haki zao.
 
Mjaluo bwege sana huyo, yaani baada ya kutengeneza jina (brand), sasa analiharibu tena kwa kulitumia vibaya.
Ndio kazi ya celebrity Yuko sahihi , mtu maarufu ndo hufikisha ujumbe Kwa nguvu Zaid kuliko hata kundi la watu buku.... Sisi humu ni kusifia tuu , uchawa na wakat mambo hayapo poa... Ney wa mitego ndo msanii anayedhubutu
 
Kulalamikia cost of living kuwa ni kubwa kwako mwenzetu ni ubwege?
Mtaweza kudai katiba mpya kweli nyie kwa uoga huu?
Bongo ushawahi kusikia au kuona msanii kaandamana hivyo au kulalamika kuhusu hali ya maisha
Sana sana wao wanawambiaa,msikose kuja kwwnye uzinduzi wa jambo letu,mtu support
[emoji1]

Ova
 
Back
Top Bottom