Omond akiwa kituo cha polisi

Omond akiwa kituo cha polisi

Mjaluo bwege sana huyo, yaani baada ya kutengeneza jina (brand), sasa analiharibu tena kwa kulitumia vibaya.

Una comment wewe ambaye hata brand huna, mwenye nayo aliyeingia gharama kuitengeneza ndo kaamua kufanya hivyo.
 
Wakati hapo ndo anatengeneza jina na umaarufu zaidi...

Bora ya huyo anatengeneza jina kwa kuwatetea wananchi...sisi huku bongo watu wanapata umaarufu kwa connection za uchi, umalaya nk mfano mtu kama kajala

Bwahaha [emoji1787]
 
Una comment wewe ambaye hata brand huna, mwenye nayo aliyeingia gharama kuitengeneza ndo kaamua kufanya hivyo.
Mkuu, weulitaka nisicomment..🤔
Na kwani wote tukiwa na brand, nani atakua mkulima..🙄
 
Back
Top Bottom