Omondi kwenye comedy kafika mbali sana

Omondi kwenye comedy kafika mbali sana

Mi sijaona comedian ambaye anajua kuiga sauti za watu wengi hata ma raisi kama jama wa uganda anaitwa Teacher Mpamire,

Huyu jamaa anaweza iga tembea yako na vituko vyote unavyo vifanya
 
Ana demu mkali sana huwezi amini

Demu namjua ni kisu , afu nasikia demu ndo alimtokea omondi ....... ndo huwa najiuliza ilikuwaje yaani alivutiwa na nini huyo dada
 
Demu namjua ni kisu , afu nasikia demu ndo alimtokea omondi ....... ndo huwa najiuliza ilikuwaje yaani alivutiwa na nini huyo dada
Demu alivutiwa na umaarufu
 
Hakuna kitu hapo !!!! hana tofauti na hawa wakwetu wa kibongo wa " TAAFIFA ZA HABARI" hapo kaiga idea za charlie champlin na kubadilisha kidogo tuu.
 
Back
Top Bottom