GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Jana katika tabia yake Ile ile ya Kujipendekeza kwa Serikali ( hasa Watawala ) na kutafuta Huruma ili ifanye Ushawishi na awe Huru kafanya Jambo la Kujichoresha zaidi na linaloonyesha kuwa huenda Majibu ya Mabaya aliyowafanyia Watu sasa Laana zao zinaanza Kumpata.
Ni kwamba Mfungwa na Mdaiwa Haji Manara akidhani kuwa Tanzania nzima Mtu Mjanja na anayejua Mambo ya IT ni Yeye 'aliposti' Picha akiwa kavalia Jezi Mpya, Mbovu na Kituko ya huko Walikomuajiri ambayo huenda kwa matatizo yake ya Akili ( Kuchanganyikiwa ) hakujua kuwa imekosewa 'Kuprintiwa' ambapo badala ya Kuandikwa Sensa ni tarehe 23 / 8 / 2022 aliyoivaa Yeye na Kujimwambafai nayo kwa kuipiga na kuitupia katika Mitandao yake iliandikwa Sensa ni tarehe 23 / 8 / 2023 ambapo baada ya kujua amekosea haraka sana akaiondoa akidhani Watanzania wanaomzidi Akili hawakuikopi au hawana wakati tayari ipo na sasa inasambaa tu Mitandaoni huko.
Mlio karibu nae Haji Manara tafadhali mwambieni atulize Kichwa chake Kwanza, apumzike na asitafute Kiki ( hasa kwa Serikali ) ili labda ishinikize kwa Waliomuhukumu wamfungulie na aendelee na Upuuzi na Uswahili wake.
Muulizeni Yeye Siku zote anajimwambafai kuwa ni Mtu makini na wa uhakika sasa ilikuwaje tena akavaa Jezi Mpya ya alikoajiriwa iliyokosewa Mwaka wa Sensa, akaiweka Mtandaoni na ghafla alipoambiwa imekosewa Mwaka akaitoa na Kuifuta kabisa?
Msaidieni anachanganyikiwa mno tu.