Shin Lim JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 7,837 Reaction score 14,198 Jul 30, 2022 #21 Ametuwekea mgongo. Hatari sana.
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 17,080 Reaction score 33,076 Jul 30, 2022 #22 Kuhamasisha sensa sioni tatizo mimi huwa sifati mkumbo hata kama ana matatizo yake kwenye hilo swala la Kitaifa kwa Watanzania wacha ahamasishe kitu muhimu..
Kuhamasisha sensa sioni tatizo mimi huwa sifati mkumbo hata kama ana matatizo yake kwenye hilo swala la Kitaifa kwa Watanzania wacha ahamasishe kitu muhimu..
Sam mirror JF-Expert Member Joined Sep 29, 2018 Posts 1,461 Reaction score 2,238 Jul 30, 2022 #23 Ameposti makusudu ili muongeee endelea kumpa kiki
Nahonyo JF-Expert Member Joined Dec 28, 2012 Posts 5,550 Reaction score 5,379 Jul 30, 2022 #24 Mamndenyi said: Aisee Hayo ni makosa ya mshapishaji, huenda naye alikuwa na sababu za kukosea. Why you hate that man such much? au ni ile ya adui (mpinzani) mwombee njaa. Click to expand... Sidhani kama ume elewa, kilichoandikwa.
Mamndenyi said: Aisee Hayo ni makosa ya mshapishaji, huenda naye alikuwa na sababu za kukosea. Why you hate that man such much? au ni ile ya adui (mpinzani) mwombee njaa. Click to expand... Sidhani kama ume elewa, kilichoandikwa.
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Jul 30, 2022 Thread starter #25 Chen Hu said: Ametuwekea mgongo. Hatari sana. Click to expand... Anatutafuta tu Ubaya Sisi Mabasha.
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Jul 30, 2022 Thread starter #26 Nahonyo said: Sidhani kama ume elewa, kilichoandikwa. Click to expand... Mpumbavu huwa anaelewa Mkuu?
Nahonyo said: Sidhani kama ume elewa, kilichoandikwa. Click to expand... Mpumbavu huwa anaelewa Mkuu?
Shin Lim JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 7,837 Reaction score 14,198 Jul 30, 2022 #27 GENTAMYCINE said: Anatutafuta tu Ubaya Sisi Mabasha. Click to expand... Akimwona mzee tozi anajikumbukia mbali tu.
GENTAMYCINE said: Anatutafuta tu Ubaya Sisi Mabasha. Click to expand... Akimwona mzee tozi anajikumbukia mbali tu.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Aug 1, 2022 #28 Duuuh hii nchi hii, tutafika tukiwa hoi sana
Sexer JF-Expert Member Joined Oct 22, 2014 Posts 8,440 Reaction score 8,149 Aug 1, 2022 #29 Manara huwa anajua sana kucheza na akili za mbumbumbu, kapost makusudi kuwajaza mbumbumbu, na mbumbumbu wameingia kichwakichwa wamejaa.
Manara huwa anajua sana kucheza na akili za mbumbumbu, kapost makusudi kuwajaza mbumbumbu, na mbumbumbu wameingia kichwakichwa wamejaa.
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Aug 1, 2022 Thread starter #30 Sexer said: Manara huwa anajua sana kucheza na akili za mbumbumbu, kapost makusudi kuwajaza mbumbumbu, na mbumbumbu wameingia kichwakichwa wamejaa. Click to expand... Kwenye hao Mambumbu upo au haupo?
Sexer said: Manara huwa anajua sana kucheza na akili za mbumbumbu, kapost makusudi kuwajaza mbumbumbu, na mbumbumbu wameingia kichwakichwa wamejaa. Click to expand... Kwenye hao Mambumbu upo au haupo?