Pamoja sana mkuu!, idea iko poa sanaHapana sipo huko mkuu nipo hapa hapa bongo sema huwaga napapenda sana huko LONDON
Poa kamandaUna uhakika na ukisemacho mkuu au unaota kila jukwaa lina kaz yake hapa kamanda punguza povu
Hahahahaa umejuajePoa poa kadagala maana yake ni kadagaa kamoja siyo
Poa poa mkuuAhahahaha nilitaka niweke video lakin nikaona hata hiyo picha inatosha
Mtindo wa magazeti kila Asubuhi upo Makapuku Forum MkuuGood iboreshe itakua bomba mi nataka nije na kitu cha magazeti asubuhi kila siku
Mtindo wa magazeti kila Asubuhi upo Makapuku Forum Mkuu
Jukwaa la Jamii Photo unalijua? Kule mwendo wa picha mkuu, kwa hiyo ni Instagram?Naona jamiiforum inageuka Instagram
Tupo captain sema jukwaa nyingi kama mitaa tunapishana tu.Poa poa mzaZi unaonekana kwa machale sana unajifichaga wapi
sawa mkuu lakin mimi sina team maana huwa naona watu wanamuita diomnd ni domo na alikiba ni king kibawazo zuri ila ongeza ubunifu....maandishi hayavutii ....pia epuka utimu (kuna sehem nmeona mbumbufu fc , mnyama kiba n.k) unapokua reporter try kubalansi story !!
kuna mdau kashauri hapo uweke segments...itavutia zaidi!
vinginevyo tupo pamoja